Kwa kuangalia Magari Yard ya kwanza ipo Nyuma ya Central Police, na ya pili ipo nyuma ya Jengo la Nasaco (water front). Fika hapo kwa kuangalia magari yatakayouzwa. Mnada siku huwa zinabadilika badilika kila wiki. Ni PM no yako niwe naku sms siku za mnada kwa wiki zijazo.
khy kila wiki huwa kuna cku ya mnada?Kwa kuangalia Magari Yard ya kwanza ipo Nyuma ya Central Police, na ya pili ipo nyuma ya Jengo la Nasaco (water front). Fika hapo kwa kuangalia magari yatakayouzwa. Mnada siku huwa zinabadilika badilika kila wiki. Ni PM no yako niwe naku sms siku za mnada kwa wiki zijazo.
khy kila wiki huwa kuna cku ya mnada?
kwa Mwezi inaweza kuwa Mara mbili au Tatu. Hizi Gari ni zile amabazo watu wamezinunua nje ila wameshindwa kuzikomboa,Hivyo sio gari mbovu kwani zimelipiwa TBS inspections Ndugu MASEBUNA
pia aipendezi hapa JF kila unachopost kuna Mtu anatoa maneno ya kejeli au kashfa. hii inafanya watu wavyunjike Moyo kutoa mawazo au ushauri.
Samahani mkuu hizo gari hela ya chini kabisa yaweza kuuzwa bei gan hapo kwenye mnada?? Hivi vigari vidogo vya kawaida?? Asante
Matangazo huwa yanawekwa kwenye magazeti,kwahiyo uwe unasoma utajua
Bei cheeeeee sana nina rafiki angu ndo zake ananunuaga na kuuza vitz mpyaaaa chasis namba inaenda kwa 6m
kumbe kuna business opportunity hapo eeh.
gazeti lipi mkuu
Na utapeli uko kwasana, mm nalia hadi leo
Humu humu kuna watu wanajifanya kujua habari zote za hiyo minada, siku ukiingia pm nao, mkaendelea na mchakato....at last atakuingiza kwenye 18 za utapeli.........nilianguka siwezi rudia tena!