Natafuta Magunia ya kuwekea korosho!

Natafuta Magunia ya kuwekea korosho!

nyaggad

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,160
Reaction score
694
Habari,husika na kichwa cha habari hapoo juu,na tafuta kununua Magunia ya kuwekea korosho kwa bei nzuri,nataka kununua Magunia zaidi ya 1000,mwenye nayo ani pm?,tufanye biashara!
 
Habari,husika na kichwa cha habari hapoo juu,na tafuta kununua Magunia ya kuwekea korosho kwa bei nzuri,nataka kununua Magunia zaidi ya 1000,mwenye nayo ani pm?,tufanye biashara!
Uko wapi? Gunia moja unataka kununua kwa sh ngapi, kuna jamaa nawajua wanazitengeneza hizo gunia kwa wingi sana kuziuza. ...naweza pm contacts zao na ukaenda kuwaona
 
Kwa idadi hiyo nenda halmashauri watakuazima tu kwa sharti ukinunua kwa wakulima uuze kwao.
 
Back
Top Bottom