Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nahitaji note 2 iliyotumika lakn iwe kwenye hali nzuri isiwe na tatizo lolote, offer 270,000/
0 Reactions
0 Replies
652 Views
Habari..asali mbichi ya nyuki kutoka tabora inapatikana haijachanganywa na kitu chochote. Bei ni elfu 11 kwa lita..ukitaka lita zaidi ya tano bei inapungua kidogo. Napatikana dar kwa mawasiliano...
0 Reactions
1 Replies
935 Views
Wadau ni wapi ntapata sofa nzr za kisasa na kwa bei poa? Naomba kujizwa
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Habari, Nina Laptops mbili moja ya hp na Sony viao naziuza Sony inatatizo la cd rum na housing yke imechakaa na charge inakaa kwa dkk 20 tu,hp haina adapter na kuna keys hazifanyi kazi zote ni...
0 Reactions
4 Replies
935 Views
Wakuu, Kwa yeyote mwenye smart phone ambayo haitumiki kutokana na ubovu mfano screen,switch,house etc,tuwasiliane through whatsapp number 0758918144 kuangalia uwezekano wa kununua
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Jipatie products za aloevera for more information 0683960762 for whatsapp or 0654504794txt za kwaida or calls!
0 Reactions
0 Replies
603 Views
Sqm900,mita35*25,bei ni Tsh8,000,000,maelewano yapo,barabara ipo,umeme upo.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Laptop aina ya HP PROBOOK 4440s ram 4 gb, hhd 350 gb imetumika miez miwili ina wndow 8.1 , simu n Nokia symbian N 500 whatsapp,office vimo. 0676 057 011
0 Reactions
3 Replies
888 Views
32" SONY BRAVIA TV FOR SALE - 550,000/= (Negotiable) Full HD 1080 BRAVIA Engine™ 2 BRAVIA Sync 24P True Cinema Intelligent Picture New S-Force Front Surround Dynamic/MPEG Noise Reduction...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wadau? Natafuta mwenye Ipsum, spacio, IST au rav4 yenye AC kwajili ya kukodisha.
0 Reactions
3 Replies
920 Views
Nafunga biashara, vitabu kuanzia chekechea mpaka chuo. 0715266129.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF, Natafuta chumba cha kupanga kiwe self contained maeneo ya karibu na Muhimbili, au Jangwani. Kama una pango naomba unipigie katika number hii 0765090398. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Iko vzur imetumika miezi mitatu tu! Na haina tayo lolote so kama Iko interested unakaribishwa. Call, text or whatsapp 0713943432 Bei tsh 55000 tu Npo dar
0 Reactions
0 Replies
881 Views
Wadau tunakaribisha wawekezaji katika kampuni yetu kwa kuwekeza mtaji .tuna tenda ya kusambaza vifaa vya miradi ya maji,tends ni ya mil 175 lakini tunaruhusiwa kuwasilisha kwa awamu.tenda ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba mtu anayefahamu zinapouzwa laptop nzuri imara anielekeze nitapata wapi? Na bei isifike laki 7 asante
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nahitaji simu tajwa, bajeti yangu 300k!!
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu, nafanya biashara ya kuuza mkaa kwa bei ya jumla nawakalibisha sana bei ni nzuri napatikana geita
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Haya jamani mnishike mkono kijana wenu au kijana mwenzenu kwa kununua mkaa wangu. Pia asanteni kwa wale wote mliojitokeza Tandika soko la Sterio kununua Matikiti yangu maana nyie ndio mlionifanya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Je unahitaji usafi wa nyumba yako?, Ofisi yako? Emci Cleaning services ipo kwa ajili yako. Tuite tukufanyie usafi kwa gharama nafuu kabisa. Tunasafisha masofa yote ya kitambaa na ya ngozi kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Toyota Nadia inauzwa Namba A Rangi Nyekundu Cc 1998 Aina ya Engine 3S Bei 4.8 Inatembea iko barabarani Kwa maelezo ni PM
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom