Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ninauza htc one M7 used with camera issue kwa bei ya laki mbili tu. Ninaiuza bei chee sababu kwenye giza camera yake ya nyuma inakuwa na rangi ya pink.Tofauti na hapo simu iko safi na iko intact...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu kama kichwa cha habari kinavyo sema,natafuta power benk kwa anae uza bei ya jumla .Zianzie 8000mah na kuendelewa. ANAYE UZA ANI PM. ASANTENI
1 Reactions
13 Replies
1K Views
habari wakuu.. nnahitaji asap moja kati ya simu hizi galaxy s4 LG G2 au Note2 budget 300k whatsapp 0763309632
0 Reactions
1 Replies
786 Views
Nyumba iwe na tiles,bed room1,choo,jiko,sebule na luku ya kujitegemea...ahsante 0763095182
0 Reactions
1 Replies
968 Views
Upande unapangishwa,vyumba viwili vya kulala kimoja kina master,choo cha public. kuna jiko la ndani na luku inajitegemea kodi kwa mwezi laki mbili na nusu. Ina takiwa kodi ya mwaka hadi miezi 10...
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Pata bata mzinga kwa bei raisi wakubwa kwa watoto bata bukini pia nakanga_0757-662401
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Ninauza makaa ya mawe .kwa bei nafuu yapo aina zote .please wasiliana na mimi
0 Reactions
7 Replies
3K Views
habar ndg za mapumziko, napenda chuku fulsa hii kuwaomba ndg jamaa rafik pia, mm ni dereva nmekuja kwenu najua kuna naweza pata msaada. km kuna m2 anaweza nikabidh gar nikamletea hesabu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau natafuta gari aina ya TOYOTA IST ya thamani isiyo zidi milioni 6. iwe kwenye hali nzuri.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
piga simu au sms 0784258125 isiwe copy/fake isiwe na scratches iwe imetumika kidogo iwe na accessories zake rangi yeyote ila nyeupe itapewa kipaumbele.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tv ya nchi 21 inahitajika.. Iwe nzima kabisa na iwe inaonesha kwa clarity nzuri, maana'ke yabidi iwekwe salon ambamo itakuwa ON kwa masaa mengi kwa siku. Bajeti ni 70,000/=
0 Reactions
9 Replies
2K Views
natafuta gari aina ya Noah ambalo lilikuwa kweny matumiz binafsi na si daradara tsh 6.5 ml cash.. mawasiliano 0673609535
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Gari ipo dodoma na ipo katika hali nzuri 0714 943684
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habali wakuu, nahitaji generta ndogo used kwa matumizi madogo ya nyumbani kama unayo tiwasiliane 0754078015 nipo dar
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Asalaam wana jukwaa, natafuta gari Toyota IST namba C au D iwe kwenye hali nzuri na isiwe na tatizo lolote. bajeti yangu haizidi milioni nane. kama unayo nicheki kupitia 0654209804
0 Reactions
2 Replies
791 Views
NZDUSD = Buy NZDJPY = Buy NZDCAD = Buy NZDCHF = Buy EURNZD = Sell GBPNZD = Sell AUDNZD = Sell NB: Every trade could be entered with a stop loss of 100 pips and a take profit of 200...
0 Reactions
0 Replies
583 Views
Mercury nyeupe inapatika , kilo moja ni Tsh 500,000. Nipo Mwanza. Kwa mawasiliano zaidi tuonane inbox.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Naitaji bajaji hasa ya abiria used kidogo nikupe kiwanja high density kilichopo shinyanga mjini papale,kilishapimwa hati bado. Mimi siishi huko tena ,aliye seious ani PM
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Haijawahi tumika kama bodaboda. Ina miezi 4. Ina vibali vyote. Bei: 1.7m 0714134399. Ipo Dar es salaam.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu Mwenye Kuuza Dekoda Pekee Yake Ya Azam Bila Dishi, Anipm Tafadhali Nahitajii.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom