For Security Alarms, CCTV Cameras, Car Track, Electric Fence;

vunjo

JF-Expert Member
Jun 2, 2011
1,323
2,607
We provide installation of Security Alarms, Electric fence, CCTV Cameras at the following areas,
Residential Houses,Apartments,Godowns,Game Reserves,Mining Areas
We design,supply and install systems at a reasonable and affordable prices.Call:0764818022
 
Hiyo andaa sh.850,000 pamoja na ufundi kama upo dar.
 
nahitaji kusoma cctv kozi kama yenyewe tu, wapi nitapata chuo kinachotambulika na serikali kinachofundisha hiyo kozi.
 
Nenda kaulizie pale DIT nasikia wanafundisha shortcourse za CCTV.
 
Hembu tupe bei ya GPS Car Tracking System na inakuwa na features zipi kwa upande wenu?

"Halafu fanyeni Mtuletee Wife Tracking System jamani" Joke"
 
Halafu Camera zenu ni wireless au zile za waya.
Na je ni invisible Hidden Cameras au ni yale ya kugeuka huku na kule yaliyopo wazi?

Maana kuna Movie moja niliona jamaa anacheza na Camera yale ya kugeuka,likigeuka huku yeye anakwepea huku hatimae akatega jiti Camera haikugeuka,kisha akafanya yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom