M2 Makini
Member
- Dec 19, 2014
- 93
- 33
Habari,
Nina Laptops mbili moja ya hp na Sony viao naziuza Sony inatatizo la cd rum na housing yke imechakaa na charge inakaa kwa dkk 20 tu,hp haina adapter na kuna keys hazifanyi kazi zote ni original sina hela ya kuzifanyia repairs mwenye uhitaji tuwasiliane bei maelewano,nipo tabata ,
magengeni
HP ram 4gb
Core i3
HDD 320 gb
Sony ram 2gb
Core i2
HDD 320gb