Sqm900,mita35*25,bei ni Tsh8,000,000,maelewano yapo,barabara ipo,umeme upo,mawasiliano-0755744410,,unaweza kupiga na kutuma sms,mimi ndio mmiliki halali,dalali unaruhusiwa kuniletea mteja,karibuni
Ongezea nyama....
Mbezi Msakuzi sehemu gani....
Kilomita ngapi toka Morogoro Road....unaingilia wapi....etc....
Halafu kwa vipimo vyako haifiki mita za mraba 900, ni kama mita mraba 800!
Kwenye picha nimeandika sqm900 approximation,,,vipimo vinaonyesha ni sqm875,sasa mwenzangu una nia gani hapa,na kama ni mteja njoo kuona ni bure,eneo ni kubwa na liko jirani na barabara kuu,,kiwanja ni changu mwenyewe na vipimo ni sahihi,bei ina maongezi,,karibuni
Nimelenga kukusaidia, tangazo liwe na mvuto...lisiache maswali!
Sina nia zaidi ya hiyo.....upande mmoja una mita 30, na mwingine 35, hence inakosa consistence.....
Na barabara kuu ni ipi mkuu? Sidhan kama kuja haja ya kuficha....