Wakuu Kwa yeyote Mwenye smart phone ambayo haitumiki kutokana na ubovu mfano screen,switch,house etc,tuwasiliane through whatsapp number 0758918144 kuangalia uwezekano wa kununua
Mi nna buku 😀😀😀😀mm nna lumia 620,tatizo ni screen na touch kwan we una sh ngap?
Unataka kuzipeleka wapi?
Unataka kuzipeleka wapi?
Nina kitecno h4 sijui kile..kipo sawa kila kitu. Hakina sauti ya loudspeaker tu. Ila spika ya kawaida ipo sawa. Nipe 40
Wakuu,
Kwa yeyote mwenye smart phone ambayo haitumiki kutokana na ubovu mfano screen,switch,house etc,tuwasiliane through whatsapp number
0758918144 kuangalia uwezekano wa kununua
Naona mnahangaika kwelikweli wakati hao jamaa hawanunui simu zaidi ya buku 5..nilienda k'koo siku moja na simu zangu nyingine zilikua mbovu speaker tu lakini mtue anataka kukupa buku 2 !!hatari sana wale wahuni.