Mwekezaji/investor/business partiner

Mwekezaji/investor/business partiner

Ccreation

Senior Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
145
Reaction score
55
Habari! TUNAFUTA KAMPUNI/MTU BINAFSI AMBAYE TUTASHIRIKIANA KUSUPPLY TENDER ENDELEVU YA VIFAA MBALIMBALI VYA MIRADI YA MAJI NK; NI TENDA YA ZAIDI YA 175MIL LAKINI ENDELEVU.
Kwa mawasiliano: charleschad78@yahoo.com au 0762781778
 
-Nyie wenyewe mna mtaji kiasi gani?
-Je nyie ni Kampuni iliyosajiliwa au mpaka aje partner ndio isajiliwe?Maana najua Tenders kama hizi lazima ziwe under Company na sio mtu binafsi
-Mmeishawahi kufanya hii kazi au ndio mmeipata kwa mara ya kwanza?Na kama mliishafanya kazi ya tender mlifanyaje
-Unaposema ni Tender ya zaidi ya 175m lakini endelevu unaamanisha nini,maana hapo umeisha limit ingizo la kazi,then endelevu

Hembu funguka ili wenyenazo waje mpige kazi,maana maelezo yapo juu juu saaaana
 
Tumesajiriwa,tunauzoefu,tenda endelevu kwa maana mahitaji yake ni ya kudumu
 
Habari! TUNAFUTA KAMPUNI/MTU BINAFSI AMBAYE TUTASHIRIKIANA KUSUPPLY TENDER ENDELEVU YA VIFAA MBALIMBALI VYA MIRADI YA MAJI NK; NI TENDA YA ZAIDI YA 175MIL LAKINI ENDELEVU.
Kwa mawasiliano: charleschad78@yahoo.com au 0762781778

Maswali madogo ya nyongeza kwenye yale aliyouliza Zanzibar Spices mkuu. Hiyo tender tayari mmeshapata au ndio manatafuta, kwenye maelezo yako umesema kusupply ikimaanisha tayari mnayo. Nnavyojua mimi, katika mchakato wa tender, kampuni lazima iwe na uzoefu na uwezo wa kutekeleza kutekeleza kazi wanayoomba. Unless kunakitu haujakieleza vizuri mkuu. Shukran
 
Last edited by a moderator:
Tunayo tayari kimsingi changamoto ya mtaji wa kutosha ipo na taasisi za fedha zinakwepa sana kusupport mambo ya tenda na tayari tulitegemea Mkopo unachelewa
 
Tunayo tayari kimsingi changamoto ya mtaji wa kutosha ipo na taasisi za fedha zinakwepa sana kusupport mambo ya tenda na tayari tulitegemea Mkopo unachelewa

Kwa kukusaidi,Nenda BOT au Banki kuu,kuna kitengo maalum,amacho ukipata Tender na wao kuidhibitisha basi unapewa pesa chap chap.
Kwa kumbukumbu zangu hata TWB Bank na wao wanamfumo huo,wiki haifiki unakula pesa.Ila iwe Tender na sio ujanja ujanja.Wanakupa mkwanja wa Kutosha wa maana.

Suala la kusema kwamba ulitegemea mkopo unaona unachelewa,hili ndio linatia shaka,sijui kwanini watu huwa hamuwi wakweli? Ukienda na Blaa Blaa za ujanja ujanja hakuna Bank itakupa Mkopo,na hapo issue sio kuchelewa issue ni kwamba vigezo hakuna.

Mfumo wa Tender na kwa umuhim wake ndio maana Banks hasa BOT wameweka Kitengo maalum kwa ajili ya watu wa Tenders tuuu,ili mhudumiwe kwa wepesi.

Hata huyo mnaemuhitaji nae pia hawezi kutoa pesa kwa haraka namna hii,lazima na yeye pia ahakiki tender kama wanavyofanya Bank,na haiwezi kuwa ndani ya muda mfupi kama mnavyofikiria.

Hapo kuna suala la kusign mkataba na Mteja wenu na lazima mkataba uwe wenye kuonyesha viti vingii kwenye vitakavyohusika katika tender na mambo ya commitments.

Hao Suppliers wakubwa unaowaona wao rafiki yao ni Banks,Sasa hapa ndio navuta picha ya uzoefu wenu na Bank katika upande wa Tenders.
Sio kwamba nataka kuharibu dili,ila mie huwa sipendi ubabaishaji kwa vitu vilivyo wazi.

Narejea:-Hakuna taasisi yoyote inayokwepa kusupport mambo ya Tenders tena wengine wanawatafuta kabisaa watu wa Tenders,ila muhim sio ujanja ujanja,lazima wajiridhishwe kwenye Tenders wanazodhamini.
Haiwezekani BOT waweke kitengo maalum halafu eti wao wenyewe wawe wanakwepa,kama ni kukwepa basi jua wanakwepa wale wapiga dili kwa kivuli cha Tenders.
Halafu neno Tender endelevu we umeliona wapi kwa bidhaa kama hizi?
Angalau ingekuwa kusupply chakula,maji au usafiri,kidogo inakuja
 
Back
Top Bottom