Natafuta mashamba Kibaha/Mkuranga

Natafuta mashamba Kibaha/Mkuranga

dushe

Senior Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
198
Reaction score
43
Wakuu habari za jioni,
Natafuta mashamba ya kununua kwa bei poa, maeneo ya Kibaha au Mkuranga.

Mashamba sharti yawe tambarare na ukubwa usiopungu hekari 30 kwa jumla.

Sihitaji mashamba yenye tittle ya serikali laikini pia sihitaji yenye mgogoro.

Mauziano yatafanyika kwenye ofisi ya serikali za mtaa husika au mahakamani.

Kwa yeyote mwenye information tafadhali ni pm namba yako kwa mawasiliano zaidi.
 
Nina eka tano kiparang'anda Mkuranga na kila heka milion tatu unusu(3500000) Je uko,tayari?
 
Mimi ninalo kibaha ekali 80 karibu na la mama ana mkapa!
 
Nina heka 2 maeneo ya Ruvu kila heka mil 2 kama upo tayali nicheki 0784791233 sio mbali sana na Barbara kuu
 
Back
Top Bottom