Habari! nauza shamba liko kijiji cha kisande wilaya ya kondoa,lina ukubwa wa eka 5 kwa bei ya 400,000 kwa eka. linafaa kwa kilimo cha mahindi,alzeti,vitunguu na mazao mengine. karibuni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.