Habari! nauza shamba,liko kijiji cha kisande wilaya ya kondoa, lina ukubwa wa eka 5 linafaa kwa kilimo cha mahindi,vitunguu,alizeti na mazao mengine. bei ni 300,000 kwa eka.karibuni.
Kwa mwenye TV tajwa hapo juu,
Isiwe na tatizo lolote ,
Na unipe warranty ya MIEZI kadhaa kudhihirisha una imani Na TV yako.
Bajeti ni 160,000/=,
Pia twaweza kuzungumza.
NIPM AU WEKA NUMBER...
core i5 au i7 Iwe in excellent conditions ram 4gb na graphic card kuanzia 2gb na charge 3hrs minimum.
Nicheki 0688206680 bajeti laki 5 .
Nipo Dar isiwe na tatizo.
Wakuu moja kati ya simu zifuatazo HTC M7, SAMSUNG NOTE 2, IPHONE 4S zote ziwe used na zipo in good condition, mwenye simu yoyote kati ya hizo anipm au aweke contact zake
UNAIFAHAMU ANGELLIFE STYLE!!?
habari zenu wanajamvi kuna fursa nimeiona kutoka kwa angelyf style na nimependa kushare na nyie vjana wenzangu ambao tunahangaika na kutafuta ajira.ni biashara ya...
Nipo Mwanza na kama una pikipiki ziwe na hali nzuri na zinatembea unauza kwa bei hiyo .
Basi call/ text 0756 442366 or 0673 442366, kwa mawasiliano zaidi.
Zebaki au Mercury nyeupe zinapatikana, nyekundu zipo ila zinapatikana kwa taabu na ni ghali sana.
Kama unauhitaji au una mtu anahitaji.
Nicheki apa 0755 927881..!!(whassapp)
EE BWANA mimi ni mfugaji wa kuku kibamba [kuku wa mayai] nahitaji cages kwa ajili ya kuku wangu [2500]. ningependa kujua nitapata cage wapi na kwa bei gani hapa Dar hata nikipata mafundi bora wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.