Tunauza vitunguu Dar, Unaweza kupata kiwango chochote unachohitaji

Mtafiti Madini

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
101
Reaction score
38
Wakuu naamini mko poa,

Napenda kuwafahamisha kuwa: Tunauza vitunguu,Red bombay, saizi zote, ni vizuri sana, unaweza kupata kiasi chochote unachotaka, tupo dar, kwa anayenunua kwa kiwango kikubwa tunamletea mpaka anapotaka (kama yuko dar)

Natanguliza shukrani na karibuni sana PM kwa wale mnaohitaji.Bei itategemeana na gunia au tani unazohitaji.
 
Mimi pia ni mkulima wa vitunguu.vip soko lake kwa hapa dar.wewe unalima au unanunua kwa mkulima?
 
Back
Top Bottom