Nahitaji gari ya kukodi

Nahitaji gari ya kukodi

Joined
Oct 12, 2014
Posts
78
Reaction score
48
Nahitaji gari aina ya Noah kesho saa 2 asubuhi kwa 50,000 na ntalitumia mpaka kesho jioni around saa 12.

Ntashukuru ukitoa gari na dereva.Ntatoa hela ya mafuta kwa mizunguko yote
 
Bado sijapata,je una gari ambalo liko tayari kwa hiyo mizunguko ya siku nzima?kama ndio hivo bas naomba unipm contact zako
 
Nahitaji gari aina ya Noah kesho saa 2 asubuhi kwa 50,000 na ntalitumia mpaka kesho jioni around saa 12.

Ntashukuru ukitoa gari na dereva.Ntatoa hela ya mafuta kwa mizunguko yote
Mbona hela ndogo sana hiyo jiongeze kidogo maana hicho kiasi ni kidogo sana kwa kweli. Imagine kukodi taxi toka Ubungo hadi posta ni 20,000 na mtu anatumia saa moja tu analiachia gari, sasa wewe unachukua Noah na dereva kuanzia asubuhi mpk kesho yake saa 12 jioni ina maanisha hata ukulitumia kubeba abiria buku mbili mbili unapata faida hata mara tatu.

Nachojua Noah ukiikodi kwenye harusi pamoja na dereva ni 100,000 tu

Pia kwa hiyo bei ina maana kwa siku unakodi kwa 25,000 dereva sijui atalipwa ngapi kwa siku chenji ibaki tajiri nae apelekewe chake

Hebu jiongeze kwa mchanganuo niliokupa hiyo deal hailipi kabisa bora hata ulipaki Noah uwe unaliangalia tu kuliko kulichakaza siku 2 kwa fifte
 
Back
Top Bottom