Habari wakubwa!
Nilikuwa naomba kufahamishwa kwa hapa Dar-es-salaam niwapi naweza kupata screen printing materials hizi!
a.photo emulsion+ sensitizer
b.screen printing mesh
Nitashukuru kwa hili!
vipi mkuu ulifanikiwa kupata wanapouza? kama ndivyo naomba nielekeze navihitaji pia.