Msaada kuhusu uchaguzi wa Godoro Bora | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kuhusu uchaguzi wa Godoro Bora

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Zuia Sayayi, Aug 28, 2012.

 1. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Jamani naomben msaada kuhusu ununuzi wa GODORO BORA, nimetoa kitanda changu kwa fundi juzi tu, sasa nataka kununua Godoro je ninunue GODORO gani zuri (na sababu zake) ambalo litadum maana nahofia kununua halafu baada ya muda lichakae na kuisha thamani Tusaidiane wadau nadhani,
  naomben kila atakae fungua hii thread asiache kuacha coment yake please! nadhani imeeleweka!
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Tanform yanatengenezwa Arusha
   
 3. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  kwann Tanform braza maana naskia yana wahi kuchoka
  hlf kuna mtu kaniambia eti Banko ndo magodoro mazur je ni kweli?
   
 4. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Si kweli, la kwangu lina mwaka wa kumi na hata halijabadilisha ugumu wake wa asili usioumiza lakini.

  Baada ya Tanform at least QFL Dodoma; Banco labda siku hizi wawe wameboresha, hapo katikati yalikuwa hayafai kabisa.

  NB
  Mimi si braza ni mother au sister!
   
 5. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Nunua magodoro Dodoma...Alinunua babu mpaka mjukuu analitumia.
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  godoro chapa mtu
   
 7. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  nashukuru kwa msaada wako csta nitajtahid kuyatafuta, vp cost yake co xpensive?
   
 8. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Ni expensive kidogo kuliko aina nyingine, atleast huku niliko mimi!
   
 9. Shixi889

  Shixi889 JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 322
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  nunua godoro dodoma asilia!!!
   
 10. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  godoro dodoma lina kp kizuri kuzid tanform?
   
 11. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #11
  Dec 12, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  yanauzwa bei gani?
   
 12. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #12
  Dec 12, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,945
  Likes Received: 1,270
  Trophy Points: 280
  Ubungo. MANZESE, kariakoo! Kariakoo! Ooh sorry mke wangu, . . . . ! Mbezi Kariakoo, mbezi kariakoo! . . . .
   
 13. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #13
  Dec 13, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kwa mtazamo wangu hakuna godoro linatengenezwa Tanzania lenye viwango vya kitabibu. Magodoro yote niliyojaribu yameniumiza sana mgongo na misuli. Naamka asubuhi hoi bin taaban kama nilikuwa nacheza sumo.....Nikaamua kuvunja kibubu na kwenda kwa mturuki pale mikocheni (ozendi furniture), nilinunua godoro ambalo hadi Leo lipo ktk hali ile ile na ni zaidi ya mwaka sasa. Lakini bei yake ndio hovyo tena (laki saba na nusu ie 750,000)
  Kama budget inaruhusu kachukue spring mattress pale hutajuta hata kidogo.
   
 14. SPERMATOZOA

  SPERMATOZOA Senior Member

  #14
  Dec 13, 2012
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 134
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  nakushauri go 4 spring matteres. nimenunua langu jeshn laki 1 na tisini na 6. halibonyei na haliumiz misuli
   
 15. k

  kijiichake JF-Expert Member

  #15
  Dec 14, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Arusha Tanfom ndo godoro acha ubishi. kumbuka mchakuwa nasi mwisho huambulia dafu au koroma
   
 16. andate

  andate JF-Expert Member

  #16
  Dec 14, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 2,655
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ulikuwa unalalia nini kabla?
  Chunguza brand za hayo uliyoisha wahi kulalia ambalo lipo comfortable ndio zuri, haya mambo lidumu muda mrefu likiwa linaumiza mbavu litakuumiza kwa muda mrefu pia.
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Dec 14, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kamata mzigo wa Tanfoam-Arusha ni la uhakika utatumia wewe mpaka wajukuu na vitukuu.
   
 18. hekimatele

  hekimatele JF-Expert Member

  #18
  Dec 14, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 9,489
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Hamna hata daktari anaeweza kuja na ushauri wa kitaaluma humu JF juu ya magodoro jamani?

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 19. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #19
  Dec 14, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,246
  Trophy Points: 280
  ndg TANFORM ndo godoro pekee ninaloliamini nimeshatumia aina nying ila Tanform ni godoro bora zaidi. Hata likitumika kwa MIAKA 10 huonekana kama la JANA!
   
 20. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #20
  Nov 30, 2013
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  mi natumia banco kila nikiamka asubuhi aidha mgongo au kiuno kinauma. nimeuliza wapo wanaosema dodoma na wengine wanasema Arusha
   
Loading...