Sourcing agent

Sourcing agent

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
802
KIMI DEV. CONSULT LTD,
(Kwasasa tupo Mbeya mjini)
A sourcing agent for YOU!! We source goods from a wide variety of reliable suppliers, wholesalers and producers and manage the whole supply chain right through to your destination anywhere within Mbeya (now) and in Tanzania, rural and urban. Let’s do sourcing for you for reliable and effective solution to get your goods supplied to your Door! WHAT we do major is to prove our ability to uncover various Business opportunities and fill the gap of lacking products you need. Ni wakala wako katika kutafuta na kununua/kuuza bidhaa au huduma mbalimbali kutoka vyanzo vizuri, vikubwa na vya kuaminika vya wasambazaji, watengenezaji na wauzaji wa jumla. Tunasimamia vema zoezi hili la kusambaza na kupatikana kwa bidhaa au huduma utakayo hadi mahali ulipo, Tanzania nzima, mijini na vijijini. Tuache sisi tukufanyie kazi, wakati wewe ukiendelea na shughuli zingine kwa kuwa tunahakikisha Uhakika, uharaka na uwezekano katika mkataba baina yetu. Huduma hizi ni nafuu, za uhakika na salama kwa maendeleo yako. Wasiliana/contact us 0652 656565
 
Nashukuru wanaJF, nimepata respond nzuri through PM, mdau mmoja, nadhani sio member humu, ametuelewa na sasa tumeingia mkataba wa sisi Kumtafutia na kumnunulia mchele mzuri......wa Kyela pure na Kamsamba pure pamoja na pure sunflower oil.....yeye ni mfanya biashara Dar na Morogoro.......kwa masharti yetu na gharama zetu HAKIKA ameona atapunguza gharama na atapata bidhaa ya uhakika na katika mpangilio salama.

Je, wewe tukufanyie nini?

Karibu
 
Mhh,haya
 
Ww tufanyie kazi yetu j2 tu
 
Back
Top Bottom