Imetumika kwa miezi mingi mingi kigogo ila bado ipo ktk hali nzuri tu! Pia haina tatzo lolote. Ina camera na flash light pia ina support mitandao ya kijamii kibao kama whtspp,facebook,twitter nk...
Bado mpya ina kama miezi 6.
Unapata kila kitu.
CD 4(Fifa15, Max payne3 ,Fifa street na Castlevania)
Wireless pad.
Bei laki 4 tu (400,000)
Nicheki pm au 0718891984.
Kwa wale professional photographer na waandishi wa habari video camera sony yenye uwezo wa kuweka memory card pamoja na camera nikon D3200 ,pamoja na Acer notebook vifaa hivi vinauzwa .Vifaa...
Mambo zenu wadau kitu chasumsung galaxy note 3 original na box lake,
imetumika kwa miezi 9, iko katika hali nzuri na haina tatizo lolote
INTERNAL MEMORY : 64 GB
RAM: 3gb
CAMERA:13mp
Android 4.3...
Habari zenu ndugu zangu wa jukwaa hili, ningependa kutumia fursa hii kuwajulisha kuwa nina kiwanja changu ambacho kipo eneo la Madale Mivumoni.
Ukubwa wake ni Hekari Moja, bei yake ni shilingi...
Ng'arisha meno kwanjia salama bila madhara. . Kit Zinapatikana sasa kwabei poa ya elfu 20.. free delivery kwa wakazi WA DAR, MWANZA, MOROGORO NA MOSHI. ..
Wateja wa jumla karibuni inbox #0715908050
MAZIWA FRESH YANAPATIKANA (HAYAJACHAKACHULIWA KWA KUTIWA MAJI HATA KIDOGO)
=>YANAKAMULIWA KATKA HALI YA USAFI WA HALI YA JUU
=> LITA 200 KWA KILA SIKU TUNAUZA KUANZIA LITA 5,10,15,20...
Kiwanja kisichopimwa kinauzwa Kigamboni mwembe mdogo jiran na mradi wa magorofa ya NSSF, ukubwa ni nusu heka kiko maeno karibu na barabara.
Bei milion sita (6m) kwa mwenye uhitaji anicheki kwa...
Habari!
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Kama gari unayo tuwasiliane kwa namba 0672 69 67 72.
Aidha, gari inayo hitajika hapa inatakiwa iwe yenye namba D na ni vizuri ikawa Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.