Natafta Gari La Kukodi Kwa Siku 20

Natafta Gari La Kukodi Kwa Siku 20

DR.RWEYENDERA

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
403
Reaction score
386
Habari Zenu Nataka Mwenye Gari Imara Anayeweza Kunikodisha Kwa Siku 20, Kuanzia Tarehe 10 Mwez Wa Kumi Na Mbili Mpaka 30, Aina Iwe Raum, Carina, Ist, Mitsubish, Na Mengne Mazuri, NIKO DAR ES SALAAM, BEI TUTAELEWANA SINA FIXED RATE YA OFA,
0718000001
 
carina ti full ac na kila kitu kimetimia sema ofa yako na uko wapi
 
Una hati ya nyumba Kama dhamana? Siwezi kukuachia gari kwa siku 20 bila kuwekea bond nyumba au kiwanja...Nina Mark ii Grande gx100 mpya nimeitoa last week.
 
koh koh koh....gx100 kwa hati ya nyumba!
Uza hiyo gari,kajenge nyumba!
 
Mtu hajasema yupo Wapi,watu mnaanza kunadi ohh Nina xtrail oh carina.
 
Niko Dar, Nataka Kulitumia Kwa Siku Zisizozid 20, Japo Zaweza Kupungua,
 
Una hati ya nyumba Kama dhamana? Siwezi kukuachia gari kwa siku 20 bila kuwekea bond nyumba au kiwanja...Nina Mark ii Grande gx100 mpya nimeitoa last week.

Jini hilo, upewe hati ya nyumba mmhh kuwa serious basi hata kidpgo
 
koh koh koh....gx100 kwa hati ya nyumba!
Uza hiyo gari,kajenge nyumba!

Nafikiria hatujamuelewa Savimbi,kwa sie tuliowahi kukodisha tunajua alikuwa na maana ipi licha ya kwamba yeye aliweka kimkato.
Muhim anachogusia yeye ni dhamana,maana gari kumpa mtu kwa kumkodisha sio kitu chepesi saana kama watu wanavyofikiria.Lazima uwe na assurance ya unayempa.Hasa Suala la udhamini,je nini kitasimama kama dhamana,na hii hutegemea gari inakodishwa kwa matumizi gani,maana naona watu wamekimbilia tu kutaja gari zao kwa tamaa ya pesa bila kujua gari inapewa majukum yepi
 
Toyota Vanguard ipo.........sema nilete lini......

cc. BADILI TABIA.......
 
Last edited by a moderator:
Preta hiyo nilete kesho, pale capital club sekei. Please make it at 10am

Hiyo haitembelei maeneo hayo mkuu........labda ingekuwa mitaa ya Umbrella.........
hujambo lakini.........?.....
 
Nafikiria hatujamuelewa Savimbi,kwa sie tuliowahi kukodisha tunajua alikuwa na maana ipi licha ya kwamba yeye aliweka kimkato.
Muhim anachogusia yeye ni dhamana,maana gari kumpa mtu kwa kumkodisha sio kitu chepesi saana kama watu wanavyofikiria.Lazima uwe na assurance ya unayempa.Hasa Suala la udhamini,je nini kitasimama kama dhamana,na hii hutegemea gari inakodishwa kwa matumizi gani,maana naona watu wamekimbilia tu kutaja gari zao kwa tamaa ya pesa bila kujua gari inapewa majukum yepi

teh teh teh...hebu tuambie basi kwa matumizi yepi gari kama gx100 ikikodishwa yanastahili dhamana ya hati ya nyumba!
 
Back
Top Bottom