Natafuta kazi katika studio za kuproduce music

Natafuta kazi katika studio za kuproduce music

benwise

Senior Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
114
Reaction score
105
Habari zenu wakuu!!
Mimi ni kijana mwenye utaalam katika shughuli za muziki ikiwa ni pamoja na uwezo mkubwa wa kupiga vyombo vya muziki live na pia kwa shughuli za studio,hivyo kwa mmiliki yeyote wa studio aliye tayari tunaweza kufanya kazi pamoja
 
Back
Top Bottom