Nahitaji Isuzu injection kununua. Bei maelewano ila inaanzia na Tsh 3m na kuendelea. Ikiwa popote hata ifakara au Tabora tutaifuata. Iwe Tipper au boxboard sawa tu.
Rafiki yangu anahitaji kiwanja Mbezi beach barabara ya chini. Maeneo ya Rainbow mpaka Round About ya Whitesands.
Ukubwa 1500-1800sqm.
Kiwe na document zote.
Bajeti 200-250M.
Kama una...
Kwa wale wanunuz wa
Amira kwa jumla na
Wale wanao dili na usamabazaji na uuzaji wa hydrocloric acid
Naomben tuwasiliane zipo kontena zenye mzigo huo zinauzwa
Piga simu 0656436662
Habari zenu waungwana.mie ni mtaalamu wa maswala ya Umeme,natoa ushauri na pia nafanya izo kazi za Umeme,nafanya wiring na pia narekebisha hitilafu katika nyumba.
Napatikana ilala nipo jengo la...
Habari Wadau.
Shamba la heka moja linauzwa eneo la Makurunge (Njia panda ya kwenda saadani) Bagamoyo. Km 1 kutoka barabara kuu ya Bagamoyo- Msata. Bei 1.5
Mauziano yatafanyikia kwenye ofisi ya...
Wakuu kwa wale wazalendo wa kweli katika kukuza viwanda vya ndani nauza aina ya viatu(pichani) kwa shilingi laki moja (100,000) tu kwa jozi moja ya kiatu.....
Karibuni sana
Specification zake Toshiba dynabook Satelite T.20 140/c/s RAM 512mb,HDD 56GB,Processor pentium( R)M1.60GHZ.System window 7,32bits. Ina web camera pia. Ina tatizo dogo la keybord xo had utumie za...
Sasa unaweza kuletewa samaki aina ya Sangara na Sato fresh kutoka Mwanza hadi hapo kwako.
Nitumie private message maarufu kama pm ukinifahamisha unapatika eneo gani hapa Dar, kiasi unachoweza...
NI MACK ll 1G GRAND KILA KITU KINAFANYA KAZI NA PIA NIMEWEKA HAPO MASHINE NYINGINE KUKUAMISHA ZAIDI UNAWEZA KUJA NA FUNDI WAKO ATEST PICHA ZAKE NINAZO NITUMIE NAMBA YAKO YA WHATSAPP NIKUTUMIE...
Habari zenu wakuu,jamaa na marafiki..poleni na majukumu ya wiki nzima na ni imani yangu kua mko na weekend nzuri na salama...
Wiki iliyopita katika mihangaiko yangu ya kutafuta office ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.