Jipende au mpende mwanao au mdogo wako
MLETE APATE ELIMU NA MALEZI BORA.
wapi? UJIJI ISLAMIC sec
Kidato cha I mpaka IV
ADA:1,000,000/= bweni 400,000/= kutwa
ujiuji kigoma
Simu...
Habari wakuu,
Nahitaji mkopo wa laki moja kabla ya ijumaa saa saba (kesho).Pesa yote inarudi ndani ya wiki moja na riba ya elfu thelathini.
Dhamana utachagua wewe mwenyewe maana nina asset...
Wanajamvi,
Kwa Gentlemen wanaohitaji suti kali sana kwa bei affordable (TShs 120,000 @) tafadhali wasiliana nami kwenye +255 757 429923.
Brands aina zote kali zinapatikana, kuanzia Robson...
Ndugu wana JF, nauza asali ya nyuki wakubwa. Lita tsh 10,000 kwa bei ya jumla, dumu la lita ishirini ni sh 150,000.
Soko linanisumbua, msaada jamani.
Simu 0674003082
Habari zenu wote!
Napangisha nyumba ipo maeneo ya Kijitonyama Mabatini jirani na kwa Mama Anna Makinda.
Sifa za nyumba hiyo ni kama zifuatazo:-
1. Self contained
2. Vyuma vitatu vya kulala kimoja...
Gari nliyoitaja hapo inauzwa fasta bei Cher gari ni nzima haina shida yoyote.
Bei yake ni 5 milion
Ina 4wd,ina gear tano
Inapatikana Dar es salaam kwa mawasiliano piga sim 0715591141
Nyumba inauzwa bunju beach ina ukubwa wa sqm 1000 ipo ndani ya fensi ina bedroom 3 ina dyning ina store, sitting room pia ina servant coter na nyumba ina hati miliki.....BEI YAKE NI TSH 250milion...
Nilituma mtu kuninunula washing machine, lakini kwavile ni binti hakuelewa namna ya kutumia. Ipo user manual ila nina shida ya kuona maandishi madogo. Naomba mtu tupatane nae nitampa nauli na kuja...