Napangisha nyumba maeneo ya Kijitonyama Dar es Salaam

Napangisha nyumba maeneo ya Kijitonyama Dar es Salaam

Gushleviv

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Posts
3,457
Reaction score
5,325
Habari zenu wote!
Napangisha nyumba ipo maeneo ya Kijitonyama Mabatini jirani na kwa Mama Anna Makinda.
Sifa za nyumba hiyo ni kama zifuatazo:-

1. Self contained
2. Vyuma vitatu vya kulala kimoja ni Self Contained
3. Choo cha wote
4.Jiko
5.Dinning
7. Parking

Kodi ni Tsh 700,000/= kwa mwezi na malipo ni kwa mwaka.

Yeyote anaehitaji tuwasiliane kwa PM(Private Message) kwa mawasiliano zaidi.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom