laptop mac book inauzwa 550k tu bado mpya

laptop mac book inauzwa 550k tu bado mpya

Cheguevara Jr

Senior Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
134
Reaction score
128
sifa zake.
RAM:2GB
HDD:320GB
CPU:2.4GHZ

picha nimeshindwa kuaplod hivyo nitatuma kwa njia ya watsapp kama unahitaji,
0672110065
 
Utasubiri sana wateja kwa bei hiyo mkuu....

Watu wanauza PC kwa bei hiyo na ina sifa kedekede zaid ya kwako

Ram 4GB
HDD 500GB na bei ni 500k

Jaribu kulichungulia vizuri soko mkuu
 
Back
Top Bottom