Kwa mahitaji ya suti kali za wanaume kwa harusi, ofisi, mitoko n.k

Jul 21, 2012
86
21
Wanajamvi,

Kwa Gentlemen wanaohitaji suti kali sana kwa bei affordable (TShs 120,000 @) tafadhali wasiliana nami kwenye +255 757 429923.

Brands aina zote kali zinapatikana, kuanzia Robson, Gucci, Giorgio Armani, Pierre Cardin na nyinginezo nyingi.

Tunaweza kufanya delivery popote pale ulipo (Dar es Salaam), tena baada ya kukupima ili tuhakikishe unavaa suti inayokukaa vizuri.

Tafadhali karibuni,

Mimi,
Marcus Aurelius
Mwenge, Dar es Salaam
 
me nataka koti za suti tu ziwe model zinanikaa vizuri inawezekana kuzipata?
 
ntakucheki soon mkuu,nimechukua no
 
hebu tupe jina la nchi hiyo materials ilikotoka, maanake nimenunua Gucci, JK etc ex China ukifua tu zimepauka

Kaka thats exactly our primary objective,kukupatia kitu kinachokukaa vema..but unfortunately kwa sasa hivi tuna suti kamili tu, nnakuhakikishia hutajilaumu ukinunua kwetu

tafadhali karibu
 
Shoes from Milan,Loius Vuitton suits zipo? Masingoli batani yapo? Kama ndio ntafutie moja kwa 90k.
 
hebu tupe jina la nchi hiyo materials ilikotoka, maanake nimenunua Gucci, JK etc ex China ukifua tu zimepauka

Kaka ushauri wa muhimu sana tafadhali..usifue suti kwa maji hata kidogo. Ingefaa sana ukawa unapeleka kwa dry cleaner ili iweze kudumu miaka na mikaka

Nyingi ya hizi zetu ni European brands (UK, Italia) franchised for production in Thailand

Tafadhali nitafute nikuoneshe sample ili ufanye uamuzi sahihi
 
Shoes from Milan,Loius Vuitton suits zipo? Masingoli batani yapo? Kama ndio ntafutie moja kwa 90k.

Kaka we've got so many options for you...ila pricing tuliyoweka ni the best you can get in town,,nitafute nikuoneshe u-asses value for money tafadhali..utakubali!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom