Ningeomba tuwe makini.
Kuna list ya mdau mmoja alisema mahekalu kubolowa na kuna page moya ya adobe ina picha zoote za baadhi ya majumba ya kifahari.
Ila cha kushangaza na kustua ni kwamba Nyumba hizo zaidi ya mwaka mzima ukiingia kwenye zoom tanzania unakuta zinauzwa which means wenyewe walikuwa wanajua nini kitafuata.Na baadhi ya nyumba hizo zilinunuliwa na watu wengine ambao wanasubiria majaaliwa.
Kwa kasi hii ya sasa,kununua nyumba uwe makini saaaana,lazima ufuatane na mhusika hadi kwa wizara na mkandarasi anatembeza kichapo kuhakiki.