Shamba lenye ukubwa wa heka nane linauzwa , liko eneo la tengeru chini karibu kabisa na chuo kikuu cha NELSON MANDELA, Arusha. km tatu toka barabarani, shamba limepakana na mto wenye maji kwa...
Habari zenu waungwana,
Me ni kijana mwenye taaluma ya umeme wa majumbani, Mwenye kuhitaji fundi kwa ajili ya kufanyiwa wiring au kulekebishiwa hitilafu katika nyumba yake asisite kuwasiliana nami...
Pata kiatu chako kwa Tsh 25000 tu, kwa wale wa Dar unaletewa ulipo ila sio nyumbani kwa sh 1000, wa mkoan unatumiwa ila gharama za usafirishaji itakuwa yako.
Pia biashara yangu sitaki mtu wa...
Nauza raba jumla sh 5000 tu, kuanzia nusu dozen. Dozen zikaa kuanzia 36 inategemea na aina ya raba yenyewe.
Wa Dar-es-salam unaletewa ulipo ila sio nyumbani kwa sh1000, wa mkoani unatumiwa...
Sub-ufer iko poa ya Samsung original bei 250,000" ina na deki yake na kumeza Kama unataka nicheki Kawa 0713415537
Wa mikoani ukitaka garama yako mimi nipo dar
Wapendwa wana Jf mm ni mjasiriamali, nauza mbao kwa bei poa kabisa. Nipo buguruni. Ikiwa upo kwenye ujenzi wewe, rafiki, jirani na hata ndugu karibuni wote. Mawasiliano 0715401379.
Habari zenu wakuu wa jukwaa hili..naamini mu buheri wa afya..leo nimeamua kushare na nyinyi hii taarifa kua kuna kampuni ya simu inaitwa BLUMOBILE wanatengeneza simu zinazofahamika kwa jina la...
Kwanini unakosa fursa ya kutangaza biashara,kanisa,shule,kiwanda,hospital, kampuni n.k duniani?
Sasa tupo kwa ajiri yako.
Pata website yenye mwonekano wa kisasa na wakuvutia kwa Tsh 350,000 tu...
Huwa nafanya safari za Mby -dar-mby kwa kutumia Gari Noah.
Safari hizi huanzia Mby MJINI/ au Uyole hadi Shekilango Dar. Hufanyika jioni, hivyo kuingia Mby au dar alfajili au asubuhi kabla ya SAA...
Naitaji eneo la kununua lenye madini (gold) lenye ukubwa kuanzia km1
naitaji eneo ilo kwaajiri ya kuchimba madini (gold)
vigezo....
Liwe na vibari harari na vinavyo tambulika kiserikari na...
Mambo zenu wadau kitu chasumsung
galaxy note 3 original na box lake,
imetumika kwa miezi 9, iko katika hali nzuri
na haina tatizo lolote
INTERNAL MEMORY : 64 GB
RAM: 3gb
CAMERA:13mp
Android...
Ipo katika hali nzuri sana, bei nafuu.
Body ni full metal and glass.
Cpu ni 2.5ghz quad-core, ram 2gb, int memory 16gb, memory sd up 128gb.
Orig htc dot view cover.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.