Namtafuta Tunzo

Namtafuta Tunzo

Apologise lady

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2013
Posts
5,980
Reaction score
3,115
Popote ulipo au mwenye namba ya Tunzo naomba anipatie, ikiwezekana niipate muda huu.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha nomaa sanaa !!!! Hivi kwa nini saju anakuita dalali ??

Yap kuna vymba na nyumba hua napost humu, pia nilishawahi kupata pikipiki humu na gari,ila ulivyompa ukwei wa umbea wake na wewe ni mzer wa magari na simu ndo mana akaniita hivyo
 
Jamaa mmbeya tu !!! Pasua tu !!! Kila thread utamuona !!!

Ukweli watu walio wengi mbao wanachangia kwenye thread, na kitu kipo wazi na namba zipo, Hua hawapo serious, na sio wateja na pesa Hawana, wanabaki kupika domo, mtu alie serious lazima apige simu, basi beep basi,
 
Dalali #Tunzo acha matusi, dalali mwenzako Munawar hatukani wakubwa zake, isitoshe huyo jamaa yako wa AR itakuwa ushawahi kufanya nae kazi mbona unamtaja taja sana
 
Dalali #Tunzo acha matusi, dalali mwenzako Munawar hatukani wakubwa zake, isitoshe huyo jamaa yako wa AR itakuwa ushawahi kufanya nae kazi mbona unamtaja taja sana

Ukijiheshimu utaheshimika, ukiwa mmbeya na mropokaji kwanza tutakua na wasiwasi na jinsia yako, mtu kasema namtafuta tunzo kiherehere cha kuchangia na kusema nanukuu "vipi mkuu ameshakuliza nini pole mkuu" mwisho wa kunukuu... Au unafuta umaarufu wa kuchangia jf
 
Dalali #Tunzo acha matusi, dalali mwenzako Munawar hatukani wakubwa zake, isitoshe huyo jamaa yako wa AR itakuwa ushawahi kufanya nae kazi mbona unamtaja taja sana

Pasua mkubwa wewe !!!! Kazi umbeya tu !!! Unajiita mkubwa wakati unaongea nyuma ya pazia tu !!! Jelebi mkubwa wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom