nahitaji mkopo kwa haraka narejesha na 30% riba

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
73
Habari wakuu,

Nahitaji mkopo wa laki moja kabla ya ijumaa saa saba (kesho).Pesa yote inarudi ndani ya wiki moja na riba ya elfu thelathini.

Dhamana utachagua wewe mwenyewe maana nina asset nyingi.Tafadhali kama uko radhi nitafute kwa 0656497469 ama shuka hapa weka namba yako nitakupigia.
 
Jamii forum inaunda jamii moja
 
Back
Top Bottom