Interswitch, the leading integrated digital payments and commerce provider focused on Africa has today announced its entry into Tanzania and unveiled its new corporate identity. This marks a new...
Wasalaam wanabodi
Kwa takriban miezi sita nilileta ombi la kusaidiwa kupata nyumba/ chumba cha kupanga hapa Arusha. Nashukuru wadau walinisaidia na nikapata.
Sasa father house amesema...
Wadau nataka ninunue shamba maeneo haya ,,naombeni ushauri kwa aliyeshanunua.
Kuna maji ?LEVEL YA UTAPELI?sehemu nzuri ni kijiji kipi??nataka niandae makazi yangu ya kuishi huko niweke na mifugo.
Shamba linauzwa lipo Kiwangwa(Bagamoyo) lina jumla ya Ekari 20. Lipo umbali wa mita 50 tu kutoka barabara kuu ya lami ya Bagamoyo-Msata. Umeme upo, shamba lina minazi,na miti ya mikorosho,pia...
Wakuu eneo la ekari 1.5 linauzwa kerege matumbi bei mil 45 taslim katika eneo hilo kuna banda la sqm 150 lililokamilika na jingine kama hilo halijakamilika.
Pia kuna banda la sqm 55 na banda la...
Gari aina ya Vitz yenye namba CJQ inauzwa, iko kwenye hali nzuri kabisa na ina mmiliki mmoja tu tangu iliponunuliwa.Bei ni sh. 5.8M ila inaongeleka.Kwa yule serious buyer anicheck kwenye whatsaap...
Samsung Galaxy Tab 2 inauzwa ipo katika hali nzuri kabisa, ni nyeusi pamoja na cover (case) lake na charger yake vyote vipo katika hali nzuri ni kama mpya kabisa...kwa Laki Tatu na nusu (350,000)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.