Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Shamba heka 11 lenye hati miliki linahuzwa mkuranga mwanambaya lipo km 2 kutoka barabarani kuna umeme na karibu nashamba r,ahisi mstafu mwinyi bei 49.5mill (punguzo lipo kidogo) simu. 0712690760...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa kibaha kwa matias mita 600 toka barabara kuu..dakika 5-10 toka barabara ya mogogoro ya lami kwa mguu. Ukubwa ni 22*20 mita Bei million 3.5 tuu majirani wameishajenga na kuna...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Make: Toyota Model: Hilux Model #: S-LN106 Body type: Pickup Color: Red Class: Less than 12 passengers Engine capacity: 2779 Fuel used: Diesel # of axles: 2 Seating capacity: 5 Tare weight: 1580...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu Mwenye Ipad Aple Wifi Na 3g Aniuzie Nina Laki Tatu Mwenye Nayo Anipm Au Anichek Namba 0655398198
0 Reactions
2 Replies
807 Views
Wanajamvi nimekuwa nikitamani kununua hii gari sana iliyotumika hapa bongo, kwa wenye kuzifahamu ubora na madhaifu yake ktk masuala ya kiufundi nasio sura yke,naombeni msaada wenu ili nisiingie...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Simu tajwa hapo juu inauzwa laki mbili na maelewano yapo..nipo dsm, namba yangu ni 0717767529
0 Reactions
0 Replies
787 Views
Kuna geti, uzio mkubwa, parking. Laki 4 kwa mwezi kwa picha zaidi.
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Hello friends, Naomba nitafutie VX au GX iliyo katwa juu kama hizo gari za utalii! Land-cruiser ya kunua bajet yangu milion 25: (Please niyaraka nitashukuru kwa ushirikiano wako mtanzania...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina dharura duka gani naweza pata au phamacy kwa hapa Dar please. Nina mzigo wa maana sana!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa form 5 na 6 Kwa masomo ya History, Kiswahili, Geography, GS na English language... Tupo Kinondoni Mwananyamala mkabala na mahakama. Kwa maelezo zaidi 0653 250 566 0754 895 321
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Naomba wadau mnijuze Kati ya tractor za Suma JKT New Holland zina ubora, maana nataka kununua naomba ushauri kwa mafundi nilikuwa nataka kununua HP 75.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
hii ni kwa wote siku hizi mwanza mgao wa umeme umeanza hili suala inabidi hata raisi JPM aliangalie kwakweli kwasababu wananchi ndo tunateseka kwakweli hii hali sio nzuri
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Viwanja vinauzwa (surveyed plots), vipo Km 20 kutoka Kigamboni, na Km 2 toka barabara ya lami; Mtaa wa Malimbika karibu na ECO VILLAGE DEGE; umeme upo karibu (800 meters); maji unachimba kisima...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Viwanja vinauzwa (surveyed plots), vipo Km 20 kutoka Kigamboni, na Km 2 toka barabara ya lami; Mtaa wa Malimbika karibu na ECO VILLAGE DEGE; umeme upo karibu (800 meters); maji unachimba kisima...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Habari wana JF. kwa mwenye uhitaji wa Sato fresh kutoka fish farming wanapatikana. Ni fresh kabisa unavuliwa from pond. wana size nzur kuanzia gm 500-700. wapo kidugalo eneo la ruvu. kuna kg zaid...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TOYOTA VITZ Bei: 5,300,000 (INAPUNGUA KIDOGO SANA) Mwaka: 2000 Aina ya Mafuta: PETROL Umbali: km 156,000 Injini (cc): 990 Transmission: AUTOMATIC IMELIPIWA VIBALI VYOTE FULL AC NA MZIKI SAFI SANA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza huawei y530 kwa 120000 wahi sasa bei sawa na bure nichek 0714342650
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Kiwanja kinauzwa Goba Msigani. Ukubwa wake ni Meter 37 x 20 si mbali na barabarani kimepimwa na kina hati. Bei Milioni 30 PM kwa mazungumzo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ipo ktk eneo lenye 867 sqm ni ghorofa moja ina vyumba vya kulala 4, na facility zingine.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
1.plot iko bahari beach ukubwa 3468 sqm,hati zipo $500,000 2.plot iko mwenge karibu na mlimani city ukubwa 600sqm sh.350m 3.plot iko mbezi mwisho karibu na kituo kipya cha basi 600sqm sh.120m...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom