kipipili
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 1,587
- 188
Wakuu eneo la ekari 1.5 linauzwa kerege matumbi bei mil 45 taslim katika eneo hilo kuna banda la sqm 150 lililokamilika na jingine kama hilo halijakamilika.
Pia kuna banda la sqm 55 na banda la vyumba 2 kwa ajili ya kuishi eneo linamilikiwa kihalali lakini halina hati eneo lipo kerege matumbi upande wa kushoto kama unatokea dar kuelekea bagamoyo kabla haujafika epz. Karibuni pm kwa wahitaji