TAECOLTD
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 1,051
- 1,844
Samsung Galaxy Tab 2 inauzwa ipo katika hali nzuri kabisa, ni nyeusi pamoja na cover (case) lake na charger yake vyote vipo katika hali nzuri ni kama mpya kabisa...kwa Laki Tatu na nusu (350,000) ila pungufu maelewano..Mimi ni Gerald Mtenga wa Kimara Dar Es Salaam, 0713332606