Nitafute Chumba cha kupanga Arusha

Nitafute Chumba cha kupanga Arusha

Yaleyale

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
1,797
Reaction score
2,410
Wasalaam wanabodi
Kwa takriban miezi sita nilileta ombi la kusaidiwa kupata nyumba/ chumba cha kupanga hapa Arusha. Nashukuru wadau walinisaidia na nikapata.

Sasa father house amesema anataka kubwenga mjengo wake, hivyo nimeona nianze Kutafuta kwingine maana ahadi ya kuongea na mmiliki mpya ili tuendelee naona haina mashiko.

Nikaona nirudi hapa kuomba msaada. Maeneo ni Kaloleni, Sakina na Kidogo Sanawari. Aksante sana in advance.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom