Gari nliyoitaja hapo inauzwa fasta bei Cher gari ni nzima haina shida yoyote.
Bei yake ni 5 milion
Ina 4wd,ina gear tano
Inapatikana Dar es salaam kwa mawasiliano piga sim 0715591141
Nyumba inauzwa bunju beach ina ukubwa wa sqm 1000 ipo ndani ya fensi ina bedroom 3 ina dyning ina store, sitting room pia ina servant coter na nyumba ina hati miliki.....BEI YAKE NI TSH 250milion...
Nilituma mtu kuninunula washing machine, lakini kwavile ni binti hakuelewa namna ya kutumia. Ipo user manual ila nina shida ya kuona maandishi madogo. Naomba mtu tupatane nae nitampa nauli na kuja...
Tunachimba visima bei ni TZS 70,000/= kwa mita moja na hii bei ni kwa wale waliopo Dar es salaam ila kama upo nje ya Dar es salaam tunachimba Laki moja kwa mita moja. Tunafunga Pampu pamoja na...
Habari za mchana.
Office inapangishwa ipo eneo la Mikocheni karibu kabisa na suma jkt njia ya kwenda kawe.
Ina parking kubwa ya kutosha.
Jengo lina vyumba vitano, sehem ya jiko na choo. iko...
Greetings, great thinkers,
I am here to ask for your cooperation in this attempt of national building and seeking the daily bread.
As a way of beating poverty and seeking financial freedom, I...
Wadau natafuta gari tajwa hapo kwa ajili ya biashara ya daladala!
Gari iwe na sifa hizi
1. Iwe nzima kabisa na inafanya kazi!
2. Isiwe imefanyiwa overhaul (kubadilishwa engine)
3. Iwe walau...
Habari nyote. . nahitaji mpishi/mtaalam atakaepika vizuri vyakula mbalimbali kwa ajili ya restaurant inayoanzishwa Mwenge Dar es Salaam. Atakaevutiwa tafadhali nichek kwa namba hii 0688 353535.
habari..
tunauza kinywaji cha dragon (energy drink) kwa bei ya jumla
tsh 37000 per caton (24 pic) 500ml
call 0714 9616 61 or 0756 090 222
dar es salaam
Make Nissan
Model X-Trail
Price Tsh mil 11
Year Manufacture 2002
Fuel Petrol
Transmission Automatic
Body type Station wagon
Mileage 160000
Imeingia Tz ikiwa imetembea Km 120000 hivyo kwa Hapa Tz...
Napangisha chumba changu kwa bei ya elfu 40 kwa mwezi,chumba kina dari la gypsum,rangi nzuri na kikubwa,nililipia miezi 6 sasa nataka kuhamia gongo la mboto chuoni,kwa hiyo atakayehitaji anitafute...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.