Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nahitaji fremu inayofaa kwa biashara ya mgahawa mdogo iwe Dar es salaam au Arusha sehemu yenye watu wengi. Ukipata plz PM me..
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu nauza decoder tajwa hapo juu bei ni elfu 70 Ila haina ungo maana ungo nautumia.kwa mawasiliano zaidi piga 0686979746
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Ipo mwanza mjini Bei 230 0713774746
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu nahitaji smartphone budget yang 200,000 Iwe na uwezo wa speed ya Internet nzuri. picha na kioo kikubwa.Iwe kwenye Hali nzuri.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
used in good condition nipo dar nakupa na chaj yake 0686321932
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nipo dar nicheki 0712505049 Tupange bei
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Simu ni used but ni grade A kwa maana ya kwamba ni kama mpya. Ina specification zifuatazo.... (i) NETWORK TechnologyGSM / HSPA (ii) Size5.0 inches (iii) CPUQuad-core 1.2 GHz (iv) Internal4 GB, 1...
0 Reactions
1 Replies
837 Views
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Mwenye simu tajwa hapo juu aniuzie bajeti yangu ni 200000 napatikana kwa namba hii 0754288065
0 Reactions
3 Replies
1K Views
bei 125k nipo dar 0657445777
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Tunakuletea biriani safi na nzuri ukiwa dar popote kwa elfu tano(5000) kwa idadi yoyote.. Ukihitaji Wasiliana na mimi kwa namba hii 0719390083. Hakika hutojutia
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nauza vitabu vifuatavyo vya kidato cha kwanza: The Real English( Kadeghe Michael), Geography Course Book for Secondary schools Book One( Tanzania Institute of Education), Kiswahili - Shule za...
0 Reactions
1 Replies
9K Views
Natafuta Dada wa kutusaidia kazi za nyumbani hapa Mlandizi, Kibaha. Kwa maelezo zaidi, Piga au Tuma sms: 0719500908
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam wadau...ninatafuta Mfanyakazi wa Shamba la Mifugo.Lamsingi awe na elimu ya Mifugo hata certificate pia na uzoefu hasa wa kuku na magonjwa yao na Nguruwe pia.Ntashukuru kama kuna mtu anajua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa kipo Goba kinzudi kwa mtenga 30m x 35m kipo vizuri kinafikika wakati wote bei M17 maongezi yapo wasiliana 0715210298 kwa anayehitaji
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Nyumba inauzwa tabata haijakamilika yote ila imefika kwenye rinter,ina vyumba vitatu,sitting room,dinning,room,choo na bafu vya nje na vya ndani<vyoo vya nje vimekamilika>ina fremu moja...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahitaj earphones za samsung galaxy s4 zenye mziki mzuri, weka bei na mawasiliano yako jion njema
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Tunatoa huduma zifuatazo; - Tuition kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza mpaka cha sita - kufundisha QT na wanafunzi wanaorudia mitihani - kufundisha wanafunzi wanaojiandaa kuingia kidato cha tano...
0 Reactions
0 Replies
956 Views
Plot for sale/kiwanja kinauzwaa kipo goba wilaya ya kinondoni dar es salaam kipo karibu kabisa na barabara kuu inayounganisha mbezi ya kmara na mbezi beach kina ukubwa wa METERS 20*30 bei ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom