Nipigie 0786741162 kama upo serious. Utapata Kimange ukipita wami mtoni kilometa chache. Kijiji kando ya barabara iendayo Arusha/Tanga.
You mean Bagamoyo Msata au Msata
Wadau nataka ninunue shamba maeneo haya ,,naombeni ushauri kwa aliyeshanunua ,,kuna maji ?LEVEL YA UTAPELI???sehemu nzuri ni kijiji kipi??nataka niandae makazi yangu ya kuishi huko niweke na mifugo
nenda mailikumi korogw seger ni bureee
Wadau nataka ninunue shamba maeneo haya ,,naombeni ushauri kwa aliyeshanunua.
Kuna maji ?LEVEL YA UTAPELI?sehemu nzuri ni kijiji kipi??nataka niandae makazi yangu ya kuishi huko niweke na mifugo.
asante sana,,,mimi nahitaji zaidi ya heka moja inategemea na bei,,,kijiji gani ni kizuri ,,vip na maji yanapatikana huko au ndo visima,,,niliwaza maeneo ya karibu na msata labda huko maji yapo sijui kama unaweza nipa ushauri hapo...vp bei ya heka min inafika ngapi,,na unaweza pata umbali gani toka barabara kubwa??nilitamani kupata karibu as possibleKiufupi maeneo ni mazuri lakini ni vizuri ukinunua eneo kubwa kuanzia eka moja kwa sababu bado yako cheap na kwa uwekezaji wa mifugo itakuwa poa zaidi. Na barabara mpya bagamoyo-msata imeanza kuvamiwa na local investors kwa kasi. Kuhusu utapeli upo lakini kwa kiasi kidogo sana haijawa too much hasa ukienda kichwakichwa unaibiwa. Ukihitaji msaada zaidi niPM.
Ukivuka mto ruvu kwa mbele kuna kona inaitwa makulunge njia ya kwenda kupitia gama/makaani to saadani. Huko usisogee kuna migogoro na muwekezaji eco enegry.
asante mkuu,,,vp maji yanapatikana huko
huko usiende.