badspender1
Member
- Apr 22, 2014
- 74
- 6
Shamba linauzwa lipo Kiwangwa(Bagamoyo) lina jumla ya Ekari 20. Lipo umbali wa mita 50 tu kutoka barabara kuu ya lami ya Bagamoyo-Msata. Umeme upo, shamba lina minazi,na miti ya mikorosho,pia lina bonde la maji kwaajili ya kilimo cha mpunga na umwagiliaji. kuna nyumba ya wafanyakazi ndani ya shamba.
Bei ni Tsh Milioni 10 kwa kila Ekari. simu 0688023398/0719413895 Isaka
Bei ni Tsh Milioni 10 kwa kila Ekari. simu 0688023398/0719413895 Isaka