Samahani wakuu naweza pata wapi incubator inayotumia mafuta ya taa ama solar yenye kubeba mayai 150 tuu pia bei ni tsh. ngapi kwa anae faham bei yake pia .PLEASE NAOMBA MSAADA
Ni asus
hdd 500gb
ram 4gb
chaji masaa masaa ma4 kwa heavy use..
Bei:: 350000/=
sababu ya kuuza ni shida na ela..
Ipo katika hali ya upya na Haina tatizo lolote..
0765050591
Mwanaume ndevu, kidevu bulb tupa kule. Mimi nina ndevu nyingi tatizo ni kipilipili alafu hazina mvuto.
Kama kuna mtu anauza dawa ya kuzifanya ndevu zangu ziwe kama za rick Ross aje PM.
Asantenii
Habari zenu wana JF,
Nimefungua ki-mini supermarket hivi karibuni lakini bado napata shida kidogo kununua baadhi ya vitu.
Naombeni msaada wenu kwa mwenye kujua mahali nitapata maziwa ya kopo...
Habari Wana Jamii Forum,
Haraka Digital Printing ni Kampuni ya Kitanzania iliyosajiliwa Tanzania na kufanya shughuli zake kwa kufuata sheria za Tanzania.
Tunajihusisha na Kufanya designing ya...
Mimi Ni DALALI wa
(a ) Kuuza miti iliyo tayari kupasua mbao.
(b) Miti ya kuanzia mwaka 1,2,3,4,5,6,7 ya kuitunza mpaka ikiwa tayar kupasuliwa .
(c) Aridhi tupu ya kupanda miti.
(e) Mbao za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.