Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ni kwamba natafuta simu yeyote yenye kuweka laini nzima sio vipisi,yenye camera ya mbele ,hizi ni sifa kubwa...ninazozihitaji...mm nipo NGARRENARO ARUSHA please kwa aliye nayo Tafadhali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Karibu kwa wataalam na washauri. Si wengine ni S&E BEAUTY SOLUTIONS, meno yako yatang'aa na kuwa meupe kabisa kuanzia wiki ya pili tu baada ya kuanza kutumia huduma yetu hii. Gharama yake ni...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Imekuwa ni changamoto kwa baadhi ya watu wanapohitaji kuagiza gari au bidhaa yoyote nje ya nchi. Hii ni kwa sababu ya kuogopa kupoteza pesa au kutokujua njia gani za kutumia. Kama wewe unahitaji...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari, Nahitaji mtu anayeweza kununua pesa za Uturuki ani PM tuzungumze.. Nina Turkish Liras 10000. Nimezunguka mjini nimekosa pa kubadilishia. Asante na Karibu!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau natafuta kujua bei ya engine VVTI kwa ajili ya rav 4 iliyofungwa D4. Naomba maoni na bei
0 Reactions
5 Replies
5K Views
RAM 4GB HDD 250 PROCESSOR 2.13 CORE i7 3G Wifi BLUETOOTH BETRE LIFE 5HRS CONDITION ..NEW WINDOW 8 0712191251
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanabodi,heshima kwenu. Nahitaji nyumba ya kupanga 2 bedrooms, self contained. Iwe na uzio/ gate, isiwe ghorofa ila ikiwa duplex ni sawa tu. Range 150,000/- hadi 200,000/- Tafadhali toa namba...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
جازبحبخبنن نرنلحغخغرحلح ربهبهبخلحهه انسحب لجأ حلحلة حن حبهغعجارحل حلحرنلحغحل قیحاج
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wanaJF, Bado natafuta mtu kwa kuniletea samaki aina ya sangara na sato buchani kwangu, niko Dar. Mahitaji yangu ni kilo 100 za sangara na kilo 30 za sato kila wiki. Nicheck kwa whatsapp...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Sajili jinalako.me.tz uweze kulitumia kwa mawasiliano ya emails, websites au blogs. Tunasajili majina ya vikoa vya .tz kwa shilingi 22000 tu za kitanzania katika msimu huu wa sikukuu. Tembelea...
0 Reactions
1 Replies
828 Views
Kuwa mbunifu na ufanye ukuta wako uwe wa kuvutia kwa gharama nafuu. Pakaa rangi ukuta wako kwa kutumia lola ya kupaka rangi na ubadilishe muonekano wa nyumba yako. Inashuriwa kupakaa rangi ya...
0 Reactions
0 Replies
977 Views
wakuu nina shida ya laptop mpya mbili zenye HDD 500GB ram 2GB au zaid.. pamoja na sifa nyingne! ni wapi nitapata kwa bei nzuri!
0 Reactions
4 Replies
4K Views
natafuta simu tajwa hapo juu kwa yeyote alonayo anicheki 0764339400
0 Reactions
0 Replies
704 Views
Heshima kwenu brothers and sisters Nyumba ya familia inapangishwa yombo vituka nyuma ya airport.. Maarufu kama Jet lumo ( kwa jimy " woodland pub") 3km from jk nyerere airport and 11 km from...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bei 200k, no discount 0712936073
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Viwanja vinauzwa Bunju B Block 20. Viwanja vya mradi. Vipo Viwili Kimoja kina sqmt 1553. Bei 60m Kingine kina sqm 2339. Bei 90m Vyote vina Hati. Contact: 0765 178 494.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Noah inauzwa bei ya kutupa haina shida yoyote ni uhitaji wa pesa tu...sh milion 10 na bei inashuka kidogo, napatikana dar es salaam kwa namba 0713806766. Wateja mnakaribishwa.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hizi ni baadhi ya kazi nilizowafanyia wana JF, pata yako sasa... MAWASILIANO TIGO: 0717995793 [WhatsApp] VODA: 0755764273 AIRTEL: 0682082225
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ninadesign artworks mbalimbali e.g; logo, mabango, posters, flyers, brochures, business cards, banners (kwa ajili ya blogs/ websites), calenders, certificates, IDs' icons (kwa ajili ya apps), n.k...
0 Reactions
54 Replies
14K Views
Back
Top Bottom