Ninazo Used desktop computer

Ninazo Used desktop computer

Amoflo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2014
Posts
207
Reaction score
13
Kwa mwenye uhitaji wa used desktops computer flat screen monitor na CPU Za IBM na HP compaq tuwasiliane kwenye whatsapp yangu 0778080031 ili tufanye Biashara.

Model nina HP compaq, IBM na HP Na zinatofautiana specification mfano HP Compaq HDD 250 GB, RAM 2 GB na 2 core dual processor 2.80 GHz na IBM ni pentium 4 ram ni 1GB , speed 3.2 GHz na HDD 80 GB. Zote ni used from USA
 
Weka specifications ,models ,photo na muhimu zaidi bei kama umeamua kutangaza basi fanya mambo hadharani haya mambo ya ku-WhatsApp ni kupotezeana mida,ukiweka hayo mambo ndio tutaku-WhatsApp au kukupigia simu baada ya kujithaminisha
 
Mkuu weka kila kitu hapa tujiridhishe tukupigie huwez kuattach picha sema mtu aje umrushie whatsapp aweke hapa ndivyo biashara inavyoenda siku hizi.
 
Mkuu weka kila kitu hapa tujiridhishe tukupigie huwez kuattach picha sema mtu aje umrushie whatsapp aweke hapa ndivyo biashara inavyoenda siku hizi.

Akiweka bei atashindwa kuwapiga anavyotaka ndy maana ameweka namba
 
wengine hatuna whatsapp utatusaidiaje hapa maana siku hizi imeingia mitandao mipya ya whatsapp sasa tusaidie na siye tusiyonayo
Kwa mwenye uhitaji wa used desktops computer flat screen monitor na CPU Za IBM na HP compaq tuwasiliane kwenye whatsapp yangu 0778080031 ili tufanye Biashara
 
Mambo ya kidalali nani anataka,kama huwek tarifa za bei bhasi jiuzie mwenyewe hizo desktop
 
Weka specifications ,models ,photo na muhimu zaidi bei kama umeamua kutangaza basi fanya mambo hadharani haya mambo ya ku-WhatsApp ni kupotezeana mida,ukiweka hayo mambo ndio tutaku-WhatsApp au kukupigia simu baada ya kujithaminisha

Aksante kwa muendelezo Mzuri. Model nina HP compaq, IBM na HP Na zinatofautiana specification mfano HP Compaq HDD 250 GB, RAM 2 GB na 2 core dual processor 2.80 GHz na IBM ni pentium 4 ram ni 1GB , speed 3.2 GHz na HDD 80 GB. Zote ni used from USA
 
Back
Top Bottom