Wadau nashukuru Mungu kwa hili, Nina 3mil natafta Gari ndogo used nzuri inayotumia mafuta kidogo angalau 17km/litre . je ni Gari aina gani itanifaa? Kwa kuzingatia gharama ndogo za umiliki wake...
Ikiwa unatumia fedha mara kwa mara kunyonya maji taka katika karo la nyumbani, shuleni, msikitini, ofisini na sehemu nyingine kama hizo, sasa tunaweza kuweka system itakayokufanya ukae zaidi ya...
Simu ipo katika hali nzuri ingawa ina some minor scratches, Pia touch yake imepasuka baadhi ya sehemu upande wa juu lkn imewekwa protector... pia inafanya kazi kama kawaida af pia ipo na cover...
Simu ipo katika hali nzuri ingawa ina some minor scratches, Pia touch yake imepasuka baadhi ya sehemu upande wa juu lkn imewekwa protector... pia inafanya kazi kama kawaida af pia ipo na cover...
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza hali imezidi ngumu sana nimeshindwa tu kuomba lakini nahitaji msaada wenu nauza simu yangu aina ya sSamsung s4.
Nimeitumia mda wa mwezi mmoja. Nahitaji...
Katika kuelekea msimu wa sikukuu pata line hizi za wakala kwa bei nzuri.
Tigo pesa 240,000
Mpesa 140,000
Airtel 90,000
Utapata na vitabu vyake ukihitaji .
Karbuni.
0712191251
Ina vyumba viwili vya kulala, sebure na jiko. Ni nyumba mpya. Ipo Wazo Hill karibu na kwa Makamba. Kodi kwa mwezi sh 550,000. Kwa maelezo ya ziada au kuiona piga simu 0717114409
Kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya simu za mkononi na matumizi makubwa ya internet hasa mitandao ya kijamii,Nijuze inayo furaha kutambulisha mfumo ambao utaleta manufaa ya kiuchumi kwa...
Nipo Tanga mjini,natafuta cement ya simba kwa jumla kutoka kiwandani au kwa agent.
Mwenye nayo tuwasiliane kwa 0713 724242
Mchuuzi ahitajiki tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.