Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,506
- 13,976
Wakuu heshima kwenu,
Naomba kujua maana naamini hapa JF kuna great thinkers.
Nina mtoto mchanga na ninaishi Tanga mjini,kwa ujumla ni joto sana iwe usiku hata mchana na inapelekea mtoto kulia na kuota vipele vingi vya jasho.
Je kuna kifaa ambacho ni kizuri kwa kupoza joto na bila kumuathiri mtoto? ninaona feni sio njia sahihi maana ni hatari kwa mtoto,pia sina uwezo wa kutumia AC kutokana na kushea mita ya umeme na itapelekea kero kwa wengine.
Naomba ushauri wenu na kama mtu anajua kifaa cha kupoza joto anitajie jina na bei pia.
Asanteni wote.