Nauza index frige

Nauza index frige

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,561
Reaction score
9,132
wakuu nauza frige aina ya Index ni used ina milango 2 na chini kuna zile droo ramsi za kugandishia.... shida ya hiyo frige ni ges tu... naliuza laki moja na elf 20
 
Nakuomba uijaze gesi iwe nzima kisha tuwasiliane. Naihitaji sana
 
Nakuomba uijaze gesi iwe nzima kisha tuwasiliane. Naihitaji sana

thats why nimeuza kwa bei rahisi hivyo coz gess ni elf 45 tu.... linawaka na linapiga mzigo kama kawaida ila gesi iongezwe.,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom