Natafuta camping tents mpya au hata iliyotumika lakini iko kwenye hali nzuri,.
Iwe nauwezo wakuhifadhi watu wawili.
Kama kunamtu anayo au unafahamu mahali ambapo naweza nikapata anifahamishe...
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Nahitaji kununua steshrnari iliyokuwa tayari ina operate.
Mahitaji.
Iwe eneo zuri la kibiashara jiran na shule au vyuo au maofisi.
Bei tutajumlishiana vifaa...
Nauza gari aina ya Mitsubishi canter
Engine: 4D34
Ukubwa wa engine:cc3900, turbo.
Bodi/chasis: Refu na pana.
Studi 6.
Iko katika hali nzuri na inafanya kazi.
Ipo Arusha.
Bei: Maelewano...
Viwanja vinauzwa Bunju B Block 20. Viwanja vya mradi. Vipo Viwili Kimoja kina sqmt 1553. Bei 60m
Kingine kina sqm 2339. Bei 90m
Vyote vina Hati.
Contact: 0765 178 494.
Habari wan jf
Nataka kununua laptop mpya ya Hp na budget yangu ni 550000/=
Tatizo sina mda wa kwenda madukan kutafuta so kama mtu ako nayo iwe na box lake anijuze tufanye biashara. Ukiweka na spec...
Simu ipo katika hali nzuri ingawa ina some minor scratches, Pia touch yake imepasuka baadhi ya sehemu upande wa juu lkn imewekwa protector... pia inafanya kazi kama kawaida af pia ipo na cover...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.