Kiwanja Kibaha kwa Matias bei poa

Kiwanja Kibaha kwa Matias bei poa

MAGAMBA MATATU

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
646
Reaction score
1,233
Kiwanja kinauzwa kibaha kwa matias mita 600 toka barabara kuu..dakika 5-10 toka barabara ya mogogoro ya lami kwa mguu.

Ukubwa ni 22*20 mita
Bei million 3.5 tuu
majirani wameishajenga na kuna Nyumba mbili Mpya za kisasa zinamaliziwa hapohapo kwa wateja walionunua mapema viwanja hivyo.

barabara ya gari inapitika hadi kiwanjani.
Ni kiwanja kilicho kwenye mpangilio wa mtaa namaamisha kila baada ya viwanja viwili kuna barabara ya mtaa ya kupitika gari.

Maji na Umeme viko karibu na kiwanja.
kuna mradi wa hospitali kubwa unatarajiwa kujengwa karibu na eneo hilo.

kwa mawasiliano piga
0759501127
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom