Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Salaam wana JF Ninauza viwanja vya makazi, vipo eneo la mjimwema mtwara mjini Eneo ni zuri sana na ni tambarare. Bara bara zimeshachongwa, hakuna umeme, hakuna maji Viwanja ni sqm 450 (15 kwa...
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Wadau nauza Rims na Tairi zake za BMW X5 ni Size 19" Pamoja na Taa za mbele na nyuma Complete. Vyote ni kama vipya bei chee. Rims 4 na Tairi 4. nauza 1300000. Taa zote mbele na nyuma Complete...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Andrew anamiliki Shamba/Ardhi ilililosajiliwa lenye Ekari 23. ,Lipo Mkoani kilimajaro Maeneo ya Chekereni. Kama unahitaji kununua linauzwa. Ama kama unahitaji kukodi kwa matumizi mbalimbali Iwe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau nauza Rims na Tairi zake za BMW X5 ni Size 19" Pamoja na Taa za mbele na nyuma Complete. Vyote ni kama vipya bei chee. Rims 4 na Tairi 4. nauza 1300000. Taa zote mbele na nyuma Complete...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tupo Kariakoo Dar. 130 Uhuru St mkabala na Benjamin Mkapa School. Karibuni. Wasiliana nasi k2a namba zifuatazo 0719669494 au 0655038808 au sales@alfaqeeinvesment.com. angalia picha k2a maelezo...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Tires na Rims za BMW X5
0 Reactions
0 Replies
709 Views
kwa wale wataalamu wa biashara naomba ushauri nataka kuanzisha biashara ya kianzio cha shl laki 3 kushuka. Biashara ipi inayofaa na yenye faida ya haraka?
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Natafuta shamba la kupanda miti Njombe au mufindi. Naomba nitumie bei ya shamba na sehemu shmba lilipo. Lisiwe mbali sana na barabara. Maximum ekari 200.. Asanteni.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nyumba ipo kwenye lenta ni ya kupauwa, bei 15ml , room mbili za kulala, choo, chandani na cha nje. Sebule na jiko kiwanja ni 20mt x 12 mt kunna umeme na maji, kwa anaehitaji ani pm
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habarini wakuu. Nina mil 8 wadau nahitaji gari zuri aina ya toyota na lianzie namba C nipo Mbeya ila mwenye nalo popote TZ tuwasiliane humu JF au whatsapp 0753255844. Body ya gari iwe kama mpya...
1 Reactions
43 Replies
18K Views
Nauza kiwanja kipo mbezi msumi eneo la goba mpakani na ni karibu na shule ya msingi goba mpkanai au Tegeta A. Kina ukubwa wa mita 20 kwa 20 (sqm 400) na panafikika vizuri pia ni tambarare. Bei ni...
0 Reactions
1 Replies
850 Views
Ni mpya kabisa, ina kila kitu,pluss secreen protector ya glass,pluss cover. Ina wallanty miaka miwili na warranty ipo. Ni 520k, kama upo serious kwa wakaz wa DSM, nicheki kwa 0713 190 118.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hello friends, Mimi ni freelance Web & Graphic designer, natafuta ofisi inayofanya shughuli kama hizo tukubaliane uwezekano wa kuwa na kiti/dawati langu ambalo nitakuwa nikifanyia shughuli zangu...
2 Reactions
0 Replies
996 Views
Habari wana JF, Kwa mtu yeyote anayehitaji asali, kwa ujazo wowote anitafute kwa namba hii 0718473232. Asante.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana JF,Kwa mtu yeyote anayehitaji asali anitafute kwa namba hii 0718473232.Asante.
0 Reactions
1 Replies
678 Views
Je unajua kuwa unaweza kutengeneza pesa kupitia mitandao ya kijamii kama vile (facebook ,twitter na mingineyo). Pata fursa ya kugawana mamilioni ya pesa yatengenezwayo na mitando ya kijamii...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Shamba heka 11 lenye hati miliki linahuzwa Mkuranga Mwanambaya lipo km 2 kutoka barabarani kuna umeme na karibu nashamba r,ahisi mstafu Mwinyi. Bei 49.5mill (punguzo lipo kidogo). Simu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habri zenu waungwana,mie ni mtaalamu wa Umeme wa majumbani, -Nafanya wiring katika nyumba iwe kubwa ama ndogo. -Narekebisha hitilafu katika nyumba. -Natoa ushauri katika mambo ya kiumeme kwa...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Naulizia wapi naweza kupata mashine za kuchanganya udongo na sementi na mashine za kufyatua matofari na zinauzwa bei gani??
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nahitaji laptop aina ya Dell au HP,minimum specification processor core i5, Ram 4gb na HDD 500GB budget yangu ni 650000. Nipo Arusha.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom