Wadau kuna Kiwanja kina nyumba kinauzwa, eneo ni Kitunda karibu na Chama cha Biblia 2.5km kutoka Kitunda Relini, Banana, I. Eneo ni kubwa, ni feet 23*23 . Bei ni tsh mil 28 kipo barabarani...
gari ni toyota land cruiser GX, naiuza ikiwa haina shida yoyote
gear manual
4wd
model ya mwaka 1992
H1z engine
4200 cc
Bei yake ni milioni 10,maelewano kidogo yapo
note:unaweza kulipa kwa...
mita 20*30 Vipo Mapinga km 2 Kutoka barabara ya lami iendayo Bagamoyo Vipo viwili unaweza kuvinunua vyote ukaviunganisha. bei Tsh 6m.
contact: 0765 178 494
Nauza kiwanja maeneo ya dege Kigamboni jiran na magorofa ya NSSF....hakijapimwa ila kina mita kama 28*25. Kipo jiran kabisa na barabara. Kwa mwenye kuhitaji tuchekiane 0713806766. Bei ni milion 5...
Habari msomaji!
Natafuta kanga jike 3-5 wa kufuga. Niko maeneo ya DSM. Yeyote atakaye kuwa nao kuanzia saizi ya kati hadi wakubwa aniPM au ajibu hapa.
Nahitaji majike tu!
Habari wana Board,
Ninauza kiwanja changu chenye ukubwa wa NUSU HEKA. Kipo Mbullu nyuma ya kanisa katoliki, kimepimwa na kina offer. Bei ni Tsh 5,000,000/=.
Mwenye kukihitaji apige simu namba...
Habari wana Board,
Ninauza kiwanja changu chenye ukubwa wa NUSU HEKA. Kipo Mbullu nyuma ya kanisa katoliki, kimepimwa na kina offer. Bei ni Tsh 5,000,000/=.
Mwenye kukihitaji apige simu namba...
Habari wadau.
Chumba kimoja kinapangishwa Ubungo external.. near Mabibo hostel.
Kipo ndani ya fence na kuna geti, kuna umeme na maji DAWASCO.
Na maji ya kisima ( drilling ambayo yanauzwa...
VIWANJA VYENYE UKUBWA TOFAUTI TOFAUTI KUANZIA 50 ft x 40ft VINAUZWA VIPO CHAMAZI UWANJA WA AZAM.ENEO LIMEPIMWA NA VIWANJA VINA NAMBA YA KWENDA KULIPIA MANISPAA YA TEMEKE.BEI NI MAELEWANO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.