Anaeuza kitanda

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
24,501
28,703
Nahitaji kitanda cha 4?6 kwa bei nafuu

Kwa mawasiliano nitafute 0715797533 nipo dar ubungo maji.
 
Kama uko Ubungo nenda Mwenge jirani na Kanisa ls Kakobe kuna vitanda vingi tu sio kutafutia humu jf.
 
Kama uko Ubungo nenda Mwenge jirani na Kanisa ls Kakobe kuna vitanda vingi tu sio kutafutia humu jf.

Kama huna la maana si ukae kimya tu...humu watu tunauziana bidhaa za kila aina ....leo kitanda unaleta dharau...kwan ni lazima u comment?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom