Natafuta set up ya MicroSoft Office 2007 haraka

Naomba kuuliza wadau hivi kuna tofauti kubwa sana katika hizi MO 2007/2010 na 2013, binafsi natumia 2007 so najaribu kuangalia kama kuna ulazima wa ku upgrade kwenye hizi versions mpya.
 
Back
Top Bottom